ANGALIA LIVE NEWS

Monday, September 19, 2011

Msaada tutani jamani:

Ninakutafadhalisha unikutanishe na ndugu hao waliopo hapo juu.  Kuna dada ninayemfananisha na rafiki yangu mkubwa sana. Ni hao dada wanaogonganisha glass wamevaa magauni ya kijani.  Ninaomba kama wanaweza kuwasiliana na mimi. 


Mary Kipesile marykipesile@yahoo.com

Asante

1 comment:

Anonymous said...

Hello,

Hujambo dadangu. Naomba tuwasiliane kwa anwani hii hapa chini: marykipesile@yahoo.com