ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, September 8, 2011

NIZAR KHALFAN AMKABIDHI RAIS KIKWETE JEZI IKULU JIJINI DAR

Mchezaji wa soka ya kulipwa wa Tanzania anayechezea timu ya White Caps ya jijini Vancouver Canada, Nizar Khalfan akimkabidhi Rais Kikwete jezi ya timu yake wakati alipokwenda kumsalimu na kumshukuru kwa mengi aliyoyafanya katika kuinua michezo, Ikulu jijini Dar es Salaam jana jioni. Picha na Fred Maro - Ikulu

No comments: