Rais Jakaya Kikwete akiingia ukumbini huku akisindikizwa na Balozi wa Tanzania Nchini Marekani na Mexico Mh.Mwanaidi Maajar
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Maafisa Ubalozi(hawapo pichani) wakati alipokua akiingia ukumbini kwenye Hoteli ya Marriott iliyopo Sterling,Virginia
Rais Jakaya Kikwete(kulia) akikagua wajasiliamali wakliokuja kutoka Tanzania na sehemu mbali mbali Marekani
Rais Jakaya Kikwete akisikiliza maelezo kutoka kwa moja wa Wajasiamali(hayuko pichani) wakati alipokua akikagua wajasiliamali mara alipofika ukumbini hapo
Rais Jakaya Kikwete akiongea na Wajasiliamali wa Nyumba poa kwenye ukumbi huo unakofanyika mkutano wa DICOTA,Nyumba poa ni mradi wa kujenga nyumba Tanzania kwa bei nafuu kupitia mradi wa Watanzania walioishi hapa miaka mingi na kuamua kurudi nyumbani kusaidia Watanzania wenzao kujenga nyumba kwa masharti nafuu
Rais Jakaya kiwete akiongea na moja ya wajasiliamali wanaoshughulika na upigaji wa simu Tanzania kwa bei nafuu
Rais Jakaya Kikwete akiongea na wajasiliamali wanaoshulika na maswala ya utalii
Rasi Jakaya Kikwete akimsikiliza mmoja ya wajasiliamali
Rais Jakaya Kikwete akiwa amekaa na Balozi wa Tanzania,Nchini Marekani na Mexico,Mh.Mwanaidi Maajar
Rais Jakaya Kikwete akihutubia kwenye mkutano wa DICOTA
No comments:
Post a Comment