Napenda kuwatangazia Kamati ya Uchaguzi Mkuu wa UTNC, nao ni; 1.Bremer Jonathan, 2.Tony Ntiru 3.Dr.Piscal Muhana na 4.Dr.Kurwa Nyigu. Mwenyekiti wa Kamati ni; Bremer Jonathan
Nassor Ally,Chairman
UTNC & TCLA
P.O.Box 52531
Durham,NC 27717
Maendeleo ni haki ya wenye kuyapigania, hayaji
bila nguvu za makusudi na zenye muelekeo.
Shirikiana na wenzio kwa kuijenga jamii yako
Shirikiana na wenzio kwa kuijenga jamii yako
No comments:
Post a Comment