Ankal(kulia) akimkabidhi Mpwa Jezi mpwa za mtanange wa Yanga na Simba utakaochezwa Sept 24,2011 Manassas,Virginia kugombea Uhuru Cup.Jezi zimetolewa maalum kwa mpambano huo na VODACOM ambao ndio wadhamini wa ligi kuu ya Tanzania,TFF ya ughaibuni itatoa shukrani za dhati kwa VODACOM kuthamini michezo hata kwa Watanzania wanaoishi nje,tunasema asante na hongereni kwa kufikisha wateja milioni 10 leo Jumapili Sept 18,2011,makabidhiano hayo ya jezi yalifanyika Manhattan,New York,Nchini Marekani.
No comments:
Post a Comment