ANGALIA LIVE NEWS

Friday, September 23, 2011

Watoto wa kwaya wapiga picha na Rais

Watoto walioimba wimbo wa Taifa na wimbo wa Tanzania tanzania nakupenda wakipata picha ya kumbukumbu na Rais Jakaya Kikwete kwenye mkutano wa DICOTA unaoendelea Sterling,Virginia

No comments: