ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, September 18, 2011

WATOTO WAKIFANYA ZOEZI LA WIMBO,BETHESDA,MD

 Watoto wakifanya zoezi la kuimba wimbo wa Taifa na wimbo wa Tanzania nakupenda kwa moyo wote,tayari kwa siku ya Ijumaa Gala Dinner ya miaka 50 ya Uhuru
walimu wa watoto wakipata picha ya pamoja baada ya kazi ngumu ya takribani wiki tatu

No comments: