ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, October 18, 2011

Chanjo ya malaria yatoa matumaini kwa watoto

A  baby receives an injection in a malaria vaccine trial in the Kenya coastal town of Kilifi. Sharing meteorological information could help prevent or mitigate weather-influenced diseases such as malaria.
Malaria inasababisha ugonjwa kwa watu millioni 200 kila mwaka na kuuwa karibu watu laki nane, wengi wao watoto barani Afrika. Kwa habari zaidi Bofya Hapa

No comments: