Bwana Harusi Sarai Mfaume Sarai akiwa na mmoja ya wageni waliofika kushuhudia harusi yao na Bi Harusi Moza Khamisi itanayofanyika hizi sasa,Hyattsville,Maryland,Nchini Marekani
Kulia ni Bwana Harusi Sarai Mfaume Sarai akiwa na wageni wake
Mkubwa wangu Idrisa shabiki nambari wani wa Lunyasi all the way from Bongo mahususi kwenye mnuso huu wa Harusi ya Bw.Sarai Mfaume Sarai na Bi Moza Khamisi
Wageni na marafiki wa Bi Harusi
Wageni na Marafiki wa Bi Harusi Bi Moza Khamisi
Bi Harusi Moza Khamisi anavyo meremeta
Bi Harusi heenah ndivyo anavyoonekana kusema Bi Moza Khamisi ambaye leo anameremeta kama mnavyomuona
Bi Harusi akiwa na wapambe wake
Bi Harusi akiwa na ndugu na marafiki zake ambao wapo kwenye harusi yake na Bwana Sarai Mfaume Sarai inayofanyika hizi punde.
Bi Harusi akiwa na familia ndugu na marafiki
Wageni waliofika kushuhudia harusi
No comments:
Post a Comment