ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, October 9, 2011

JAYDEN'S BIRTHDAY,E.RANDOLPH RD,MARYLAND

Mtoto Jayden akiwa mwenyefaraha kabisa jana Jumamosi ilikua na Bash ya siku yake ya kuzaliwa ilyofanyika 1615 E.Randolph Road iliyopo Maryland,Nchini Marekani.
Keki ya Birthday ay Mtoto Jayden
Mtoto Jayden akijaribu kuzima mshumaa
Jayden akipigiwa makofi na kushangiliwa na watoto wenzake waliofika kwenye bash hio ya siku yake ya kuzaliwa
Jayden akijaribu kukata keki kwa kunyofoa kitoi
Jayden akiimbiwa wimbi wa furaha ya kuzaliwa
Watoto wenzake Jayden wakijaribu nao kupata shea yao ya keki ya kuzaliwa kwa Jayden
Mama naomba hiyo,Jayden akimuashiria mama yake Halima Ali.
Watoto katika pozi ya Ukodak moment.
'Jamani na mimi' kama unavyojua watoto wanapenda sana kucheza na maputo
Zawadi za siku ya kuzaliwa ya Jayden

1 comment:

Anonymous said...

Very well done... Congrats to Mom n Jayden. May God bless and protect you. Tia Rosa.