Wahi mapema Meadowbrook park leo Jumampili October 23,2011 usisahau October 30 tunamechi na DC Nyarugusu kwa hiyo tunaombwa tufike kwa wingi mazoezini na baada ya mazoezi tutaelekea Hyattsville ule uwanja wa Simba na Yanga DC Nyarugusu wanacheza na Cameroon TIME:7:30 pm
No comments:
Post a Comment