URBAN PULSE CREATIVE ikiwakilishwa na Frank pamoja na Mish Ze Fyah sis walipata fursa ya kushiriki katika Game show ilioandaliwa na Sporah Show kwa ajili ya kutafuta mshindi ambae atabuni Slogan Nzuri ya Kampuni yao pamoja na Sporah Show.
Katika Game show Hii Urban Pulse waliibuka washindi,
Asanteni,
URBAN PULSE
No comments:
Post a Comment