
kulikua na michezo ya watoto ya kila aina hapa watoto wakibembea

Juu na chini Watoto wakipata Ukodak Moment


Wazazi waliokuja na watoto wao kwenye siku ya kuzaliwa ya Jayden wakipata picha za kumbukumbu

kutoka shoto ni Mama Kileo akiwa na Zena Miano pamoja na Aisha Bwalu

Kulia nia Sophia akipata ukodak moment na mmoja ya wageni

Datuu Shedrick akopozi kwenye Ukodak moment

Aziza Farahani akipata picha

kulia ni Amina Kheri akiwa na moja ya wakeni wakiapta picha ya pamoja

Kutoka kulia ni Aisha Bwalu.Mama Kileo na Loveness Mamuya

Neesha Derua akiwa na mmoja ya wageni waalikwa.

























No comments:
Post a Comment