Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Nyumba Tanzania,Nehemiah Mchechu pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB,Mark Wiessing wakitiliana saini ya makubaliano kuwezesha kutoa mikopo ya Nyumba kwa wananchi hapa nchini .Waliosimama wakishuhudia tukio hilo ni Waziri wa Ardhi,Mh. Prof. Anna Tibaijuka na Mwenyekiti wa Bodi wa Shirika la Nyumba Tanzania,Eng. Kesogukewele Msita.hafla hii imefanyika leo kwenye hoteli ya Hyatt Kilimanjaro,jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Nyumba Tanzania,Nehemiah Mchechu akipena mkono wa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB,Mark Wiessing mara baada ya kutiliana saini ya makubaliano baina ya Shirika hilo la Nyumba na Benki ya NMB ili kuwezesha kutoa mikopo ya Nyumba kwa wananchi hapa nchini.hafla hii imefanyika leo kwenye hoteli ya Hyatt Kilimanjaro,jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Nyumba Tanzania,Nehemiah Mchechu pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya AZANIA,Charles Singili wakitiliana saini ya makubaliano kuwezesha kutoa mikopo ya Nyumba kwa wananchi hapa nchini .Waliosimama wakishuhudia tukio hilo ni Waziri wa Ardhi,Mh. Prof. Anna Tibaijuka na Mwenyekiti wa Bodi wa Shirika la Nyumba Tanzania,Eng. Kesogukewele Msita.hafla hii imefanyika leo kwenye hoteli ya Hyatt Kilimanjaro,jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Nyumba Tanzania,Nehemiah Mchechu akipena mkono wa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya AZANIA,Charles Singili mara baada ya kutiliana saini ya makubaliano baina ya Shirika hilo la Nyumba na Benki hiyo ya AZANIA ili kuwezesha kutoa mikopo ya Nyumba kwa wananchi hapa nchini .hafla hii imefanyika leo kwenye hoteli ya Hyatt Kilimanjaro,jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Nyumba Tanzania,Nehemiah Mchechu (kushoto) pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya BOA (Bank of Africa),Ammish Owusu-Amoah wakitiliana saini ya makubaliano kuwezesha kutoa mikopo ya Nyumba kwa wananchi hapa nchini .Waliosimama wakishuhudia tukio hilo ni Waziri wa Ardhi,Mh. Prof. Anna Tibaijuka na Mwenyekiti wa Bodi wa Shirika la Nyumba Tanzania,Eng. Kesogukewele Msita.hafla hii imefanyika leo kwenye hoteli ya Hyatt Kilimanjaro,jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Nyumba Tanzania,Nehemiah Mchechu akipena mkono wa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya BOA (Bank of Africa),Ammish Owusu-Amoah mara baada ya kutiliana saini ya makubaliano baina ya Shirika hilo la Nyumba na Benki hiyo ya AZANIA ili kuwezesha kutoa mikopo ya Nyumba kwa wananchi hapa nchini .hafla hii imefanyika leo kwenye hoteli ya Hyatt Kilimanjaro,jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Nyumba Tanzania,Nehemiah Mchechu (kushoto) pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya KCB,Yohane Kaduma wakitiliana saini ya makubaliano kuwezesha kutoa mikopo ya Nyumba kwa wananchi hapa nchini .Waliosimama wakishuhudia tukio hilo ni Waziri wa Ardhi,Mh. Prof. Anna Tibaijuka na Mwenyekiti wa Bodi wa Shirika la Nyumba Tanzania,Eng. Kesogukewele Msita.hafla hii imefanyika leo kwenye hoteli ya Hyatt Kilimanjaro,jijini Dar es Salaam.
Kamishna Mkuu wa TRA,Harry Kitilya akiwa na Mdau Baraka Munisi pamoja na Dada Lilian Kitomari wa Benki ya Stanbic.
Mkurugenzi wa Benki ya NBC,Laurence Mafuru (kulia),Mdau Baraka Munisi na Kaka David Shambwe.
Picha ya pamoja










No comments:
Post a Comment