ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, October 22, 2011

PETRO NA HAWA WAMEREMETA

Petro na Hawa wakibusiana wakati wa sherehe yao.
SHEREHE ya harusi ya Petro na Hawa iliyofanyika Axum Club, Drosopoulou Athens Greece hivi karibuni ilipendeza mno na kila mmoja alitoka kwa furaha kuona wawili hao kufunga pingu za maisha. Mishemishe za shughuli hiyo zilianzia tokea huko Bongo na mnuso kamili kuja kumalizia hapa Ugiriki. Shughuli ilifanyika kwa usalama  bwana na  bibi harusi wanatoa shukrani kwa wote walioudhuria katika shughuli yao.

No comments: