ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, October 23, 2011

ULIKUA NI USIKU WA KAMANYOLA NA MASANTULA NGOMA YA MPWITA

 Maestro King Kiki na wenzake wapagawisha Usiku wa Mwafrika uliofanyikia Brentwood,Maryland,Nchini Marekani
Maneno Uvuruge akikung'uta kitaa kwa ustadi wa hali ya juu
 
John Mwansasu(kulia) mchezaji wa zamani wa Yanga na Timu ya Taifa nae ndani ya nyumba hapa akipata picha ya pamoja na Lemy Mhando(kati) na Elvis Saria ambae pia wamesoma pamoja na John Mwansasu.
 
Mdau Benja Mwaipaja akimpigia magoti mama mwenye nyumba wake wakati huu ulikuwa unapigwa wimbo wa kitambaa cheupe.
Juu na chini ni mashabiki wakiwa na vitambaa veupe
Mashabiki wa enzi hizo wakikumbuka enzi zao
Bashir na Alice
Seif Msabaha(shoto) na King Kiki
Mashabiki wakiwa wametulia kwenye vitu vyao wakimsikiliza Maestro King Kiki(hayupo pichani)
Ni John na Neesha
Ni Uncle Magembe na Aunt Tina
Amos Mushala akiwa na mama mwenye nyumba wake
Kwa picha zaidi Bofya Read More

2 comments:

Anonymous said...

very nice

Anonymous said...

Raha jipe mwenyewe ukisubiri utapewa karaa, wana mpo!!!!