ANGALIA LIVE NEWS

Monday, October 17, 2011

VIDA MAHIMBO AZINDUA "BEACHWEAR COLLECTION" @ MEDITERRANEO HOTEL.

 Pichani Juu na Chini ni Wadau wa masuala ya Ubunifu wa Mitindo na Mavazi wakisubiri kwa hamu kuanza kwa Onyesho la Vida Mahimbo's Beachwear Collection, F Vodka na Fashion TV katika hoteli ya Mediterraneo lililofanyika mwishoni mwa wiki.
 Models waliovalia "Beachwear" ikiwa ni ubunifu wa Vida Mahimbo.
 Model waliovalia "Beachwear" ikiwa ni ubunifu wa Vida Mahimbo.
 Model waliovalia "Beachwear" ikiwa ni ubunifu wa Vida Mahimbo.
 Models waliovalia "Beachwear" ikiwa ni ubunifu wa Vida Mahimbo.
 Models waliovalia "Beachwear" ikiwa ni ubunifu wa Vida Mahimbo.
 Mbunifu wa mitindo ya mavazi nchini VIDA MAHIMBO (picha kushoto kati) akipita jukwaani na warembo waliovalia ubunifu wake kufunga onyesho hilo  na picha ya kulia Wanamitindo wakipita Jukwaani na chupa za VODKA wakiwa wamevalia mavazi yaliyobuniwa na Vida Mahimbo.
Vida Mahimbo akifanyiwa mahojiano na Fashion TV mara baada ya kumalizika kwa Onyesho lake.

Picha kwa niaba ya www.mohammeddewji.com/blog

No comments: