ANGALIA LIVE NEWS

Monday, November 7, 2011

AJALI CONNECTICUT NA R ST NW

Picture 082
Ajali mbaya iliyotokea mida ya saa nane mchana jijini Washington,DC Toyota Camry imepiga miguu chini haikujulukana mara moja sababu ni nini.
Picture 081
Makutano  ya Barabara ya Connecticut na R NW mahala ilipotokea ajali hiyo.
Picture 083
Kila mtu anashangaa sehemu hii unaenda Mile 25 kwa saa sasa hatujui jamaa huyu alikua anakimbia kiasi gani au kakutana na kitu gani haikuweza kujulikana mara moja.

No comments: