Mkurugenzi wa jiji la mbeya Juma Iddi kushoto akionge na waandishi wa habari Chales Mwakipesile Majira Osea Cheo TBC na Joseph Mwaisango wa Mbeya yetu
Mkurugenzi huyo wa jiji la mbeya amesema ni marufuku kuweka bidhaa nje ya maduka kwani imekuwa ni kero kwa waenda kwa miguu na usafi wa jiji kwa ujumla maana bidhaa zao hupanga mpaka barabarani hivyo kuwakosesha waenda kwa miguu eneneo la kupita
hivyo kuanzi sasa kila mfanyabiashara jijini mbeya aweke bidhaa zake ndani ya duka lake atakaekiuka agizo hilo atachukuliwa hatua kali na kulipa faini ya sh 50,000/ |
No comments:
Post a Comment