ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, November 12, 2011

LUNCH LA USIKU SWAHILI VILLAGE

Tamia akiwakilisha na chata ya VIJIMAMBO alipokua Kijiji cha Swahili kilichopo Beltsville,Maryland Nchini Marekani.
 Tamia(kulia)akipiga picha na rafiki yake walipokua Kijiji cha Swahili,Ijumaa November 11,2011
 Moyor(shoto) akipata picha na shemeji yake
 John Sita akipata na schoolmate wake
 Wadau wakipata picha ya pamoja.
 Tamia kwenye Ukodak Moment.
 Warembo kwenye Ukodak Moment
 Kutoka shoto ni Taji,Chande na Mayor
 Aj Real wa pili toka shoto akipata picha na warembo
 Tamia (kulia)na mmoja ya shangazi zake akipata picha ya kumbukumbu
 Juu na chini ni wadau  wakipata Ukodak Moment.
Wadau wakipata Picha ya pamoia

No comments: