ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, November 16, 2011

Msafala wa Clinton watupiwa Mayai,Manila,Nchini Phillippines

Police clash with Philippine protesters Wednesday as they block the path of Secretary of State Hillary Clinton's motorcade.
Polisi wakipambana na waandamanaji waliokua wamezuia barabara na kurusha mayai kwa msafala wa Secretary Of State Hillary Clinton alipokua akitokea kwenye  makazi ya Rais wa Nchi hiyo ya Phillippines kuelekea sehemu nyingine,Gari lililokua limembeba Hillary Clinton halikupigwa na mayai na hakuna mtu yeyote aliyejeruhiwa kwenye tukio hilo lililotokea mida ya saa 8:45 mchana mjini Manila

No comments: