Polisi wakipambana na waandamanaji waliokua wamezuia barabara na kurusha mayai kwa msafala wa Secretary Of State Hillary Clinton alipokua akitokea kwenye makazi ya Rais wa Nchi hiyo ya Phillippines kuelekea sehemu nyingine,Gari lililokua limembeba Hillary Clinton halikupigwa na mayai na hakuna mtu yeyote aliyejeruhiwa kwenye tukio hilo lililotokea mida ya saa 8:45 mchana mjini Manila
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake