ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, November 12, 2011

TAMCO EID MUBARAK


Uongozi wa Tanzanian Muslim Community of Washington DC Metro (TAMCO) inafuraha kuwakaribisha Watanzania wote wa DC Metro pamoja na wa States za karibu katika sherehe za Eid El AL- HAJJ zitakazofanyika Leo Jumamosi 12 Nov 2011:
Mahali:


The Universities at Shady Grove
Conference Room
Bldg II-1412 Rockville SG II - 1st Floor
Bldg II-1402 Potomac SG II - 1st Floor
9630 Gudelsky Drive
Rockville, MD 20850
phone: (301) 738-6059

Muda: 4:00 PM - 9:00PM
Wenu uongozi

TAMCO
http://tamcousa.org

No comments: