ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, November 15, 2011

TANGAZO LA SALA YA MISA

Kwa Ndugu,jamaa na marafiki
 
Napenda kuwatangazia nyote sala ya marehemu Lucky na chakula cha jioni, itakayo fanyika leo JumanneNovember15,2011 kuanzia saa kumi jioni(4PM). katika anuani ifuatayo;#3400 Balfour West,Durham NC 27713
 
 
 Nyote mnakaribishwa kwa kufanikisha shughuli hii.
 
Ahsanteni sana
 
Nassor Ally,Chairman
UTNC & TCLA
P.O.Box 52531
Durham,NC 27717
 
UTNC GENERAL ELECTION NOVEMBER 26,2011

No comments: