ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, November 1, 2011

TANGAZO MAALUMU LA MKUTANO WA JUMUHIYA YA WATANZANIA NOV/19

Ndugu Wanajumuhiya,
Kamatulivyowafahamisha hapo awali kuwa kazi mliyo tutuma imekamilishwa. Tuna washukuruni wote mlio leta na kutuma mapendekezo yenu kutokea mwanzo mpaka mwisho wa ukamilishaji wa Katiba mpya. Maoni yenu yote yalipokelewa na kufanyiwa kazi ndani ya Katiba, tunashukuruni sana kwa mchango na muda wenu mliojitolea kwania ya kujenga Jumuhiya yetu ya Watanzania.
Hivyo basi, imetufikisha katika hatua kubwa nay a mwisho ya kuindeleza mbele Jumuhiya yetu. Nakama tunavyo jua kuwa kwasasa hivi hatuna Jumuhiya ial tuna Jina la Jumuhiya na kwa sasa hivi Jumuhia haina Fedha za kujiendesha/ kuendesha shughuli zake. Kutokana na hali hiyo na muda wenyewe ulivyo pita, Wanakamati ya kuunda katiba tumependekeza kama ifuatavyo
  • Tutakuwa na Mkutano mkuu mmoja ambao utashughulikia maswala makuu mawili:

  1. Shughuli ya kwanza itakuwa ya kupitia na kupitisha Katiba.

  1. Shughuli ya pili itakuwa ya uchaguzi mkuu, tutachagua viongozi wa Jumuhiya.

Hivyo basi tunaambatanisha na fomu ya uchaguzi.
Kwa wale wote watakao penda kujitolea kugombea uongozi mbalimbali, tafadhali soma vizuri maelezo ya fomu hiyo na maelezo hayo yafuatwe kama yanavyosemwa. Hii itatusaidia kurahisiha kupata uongozi bora.
Kila mgombeaji atakuwa na wiki mbili za kujaza/kushughulikia na kutuma fomu hizo. Ukishindwa kutuma, unaweza kuja nayo katika Mkuton huo. Wiki inaanzia tarehe 10/26/2011 – 11/09/2011. Na fomu hizo zitumwe na zikiwa na anuani zilikotoka na juu ya bahasha ziseme
JUMUHIYA YA WATANZANIA
4023 APPLE JACK CT
PASADENA, MD 21122
Mwisho, Mkutano Mkuu utafanyika tarehe 11/19/2011 saa 4 asubuhi ( 10:00am). Anuani ya ukumbi wa mkutano mtafahamishwa hapo baadaye. 

KAMATI MAALUMU YA UCHAGUZI


2011

FOMU YA KUWANIA UONGOZI WA JUMUIYA YA WATANZANIA -WASH-METRO


WEKA VEMA KWENYE KISANDUKU / VISANDUKU KWA NAFASI UNAZOTAKA KUGOMBEA

[ ] RAIS WA JUMUIYA [ ] MWEKA HAZINA WA JUMUIYA

[ ] MAKAMU RAIS WA JUMUIYA

[ ] KATIBU MKUU WA JUMUIYA [ ] MJUMBE WA BODI YA JUMUIYA

Jina:________________________________________________________Jina la Ukoo:______________________________
(Tafadhali ambatanisha picha moja ya Pasipoti kwenye fomu hii, La sivyo maombi yako hayatafikiriwa)

Anwani ya mahali unapoishi:_____________________________________________________________________________

Tarehe ya kuzaliwa:_________________________________________Mahali ulipozaliwa___________________________

Simu ya nyumbani___________________________________________Simu ya kazini______________________________

Anwani ya Mtandao (E-mail):_________________________________ Simu ya mkononi____________________________

______________________________________________________________________________________
WADHAMINI:
Waombaji wanao wania nafasi hizi za uongozi wanatakiwa kupata wadhamini watatu (3) ambao ni Watanzania..
Wadhamini hao waweke sahihi zao kwenye nafasi iliyoonyeshwa hapa chini, La sivyo maombi yako hayatafikiriwa.

1. Jina:______________________________________________________________Namba ya Simu_______________________
Anwani ya Nyumbani:____________________________________________________________________________________
2. Jina:______________________________________________________________Namba ya Simu________________________
Anwani ya Nyumbani:____________________________________________________________________________________

3. Jina:______________________________________________________________Namba ya Simu_______________________
Anwani ya Nyumbani:____________________________________________________________________________________

ATC-ATC-ATC-ATC-ATC-ATC – ATC –ATC- ATC – ATC- ATC- ATC- ATC

SIFA ZA WAGOMBEA WA NAFASI ZOTE KATIKA JUMUIYA:


  1. Mgombea LAZIMA awe mtu mwenye sifa nzuri kwenye Jumuiya, awe na moyo wa uongozi na mtu asiyependa majungu, na pia awe na nafasi ya muda wa kujitolea bila kipingamizi cha kazi, maslahi, usafiri, nk.
  2. Mgombea LAZIMA awe na sifa za uongozi, atakayefuata Katiba ya Jumuiya, mwenye uwezo wa kubuni mipango na utekelezaji wake, mwenye msimamo bora usioingiliwa na vikundi au makundi, ili kuiongoza Jumuiya kwenye Malengo na Matarajio ya wanachama wake.
  3. Mgombea LAZIMA awe Mtanzania kwa kuzaliwa



Sahihi ya Mgombea___________________________________________Tarehe:_________________________________


Peleka FOMU hii pamoja na viambatanisho vyote kabla ya tarehe ……….. 2011 (MWISHO WA KUPOKEA MAOMBI) KWA ANWANI HII: ……………….


4 comments:

Anonymous said...

jamani ni JUMUIYA siyo JUMUHIYA...hiyo "H" inafanya nini hapo katikati?

Anonymous said...

ni "sio" na si "siyo"

Anonymous said...

Jamani hii anuani ya mkutano mbona inagomba tangu August tuliambiwa tutafahamishwa baadaye?? Leo November 2 bado tuu?

Anonymous said...

mtafanye uchaguzi kabla katiba haija jadiliwa? haiwezekani kufanya yote siku moja...halafu kwanini katiba ya watanzania iwe kwa kiingilishi?