Tujumuike na Muna katika kisomo cha Arobani ya Dada yake siku ya Jumamosi December 31, 2011 saa 7 mchana (1pm)
Address ya kisomo cha arobaini ni
428 Jamaica Ave,
Brooklyn, NY 11207 . 2nd floor
Muna alifiwa na mpendwa Dada yake Tanzania November 10, 2011. Upatapo taarifa hii mjulishe mwenzio.
Kwa maelezo zaidi na maelekezo tafadhali wasiliana na namba za simu zifuatazo hapo:
home phone #: 347-365-7317
cell phone #: 917-225-2029
cell phone #: 917-335-5132
Kufika kwako ndio kufanikisha shughuli hii.
Asante
No comments:
Post a Comment