ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, December 29, 2011

HABIBU KINYOGOLI MWALIMU WA MASUMBWI ALIEINUA WENGI

 Kocha Kondo nassoro akimwelekeza bondia chipukizi Zainabu Mhamila (Ikota) huku nyuma akielekezwa jinsi ya kutembea na kocha Habibu Kinyogoli wakati wa mazoezi yanayoendelea katika kambi ya Ilala Dar es Salaam 
Kocha Habibu Kinyogoli Masta (kushoto) akiwa na mwanafunzi wake ambaye kwa sasa ni kocha wa masumbwi Englang, Abdi Berleen 
(picha kwa hisani ya www.superdboxingcoach.blogspot.com)

No comments: