Mimi ni mtanzania nimefurahi sana kuona ndungu yangu anatangaza utamaduni wetu wa kiafrika hongera sana na ningeomba vijimambo kutuma hizi salamu kwa huyu dada yetu kama tukihitaji kununua kitu kwenye duka lake haswa sisi tulio mbali na huko aliko tutawasiliana vipi na mpango wenyewe ni vipi naomba jibu kupitia vijimambo
2 comments:

Asante, angalia mwandikotraders.com,utapata contacts, karibu Ohio.
Post a Comment