ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, December 28, 2011

AGNES MWANDIKO MTANZANIA MWENYE DUKA LA AFRICAN ART MTAA WA NORTH HIGH COLUMBUS, OH

Mimi ni mtanzania nimefurahi sana kuona ndungu yangu anatangaza utamaduni wetu wa kiafrika hongera sana na ningeomba vijimambo kutuma hizi salamu kwa huyu dada yetu kama tukihitaji kununua kitu kwenye duka lake haswa sisi tulio mbali na huko aliko tutawasiliana vipi na mpango wenyewe ni vipi naomba jibu kupitia vijimambo
---------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
 Mwandiko Traders Co.Duka la Mtanzania aishie Columbus, Ohio anaeitwa Agnes Mwandiko duka lililojaa vitu vizuri kutoka Tanzania na Afrika, Duka hili lipo 848  mtaa wa North High, Columbus, Ohio kwa Wakaazi wa Ohio na Watanzania wengine karibu umtembelee dada yetu, na kumuunga mkono. simu yake ni 614 795 0696
Pia unaweza kumtembelea www.mwandikotraders.com,utapata contacts zake 

No comments: