
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akikagua baiskeli ya miguu mitatu iliyotengezwa na Shirika la Maendeleo ya Viwanda Vidogo (SIDO) kwa ajili ya walemavu na ambayo baada ya kuikagua alishauri ifanyiwe majaribio kabla ya kuzalishwa nyingi. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa SIDO, Mike Laizer na kushoto ni Meneja wa SIDO wa Mkoa wa Dar es Salaam, Hamwel Meena na wa pili kushoto ni Ofisa wa Ufundi wa SIDO, Mina Nchimbi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
No comments:
Post a Comment