Dj Luke akitia timu New York City hapa akiwa Madison Square Garden, Dj Luke amekuja maalum kuwarusha wadau wa New York na vitongoji vyake kwenye mkesha wa mwaka mpya kwenye Club ya The Alamo iliyopo Mount Vernon, New York.
Dj Luke (shoto) akiwa na mwenyeji wake NY Ebra
Taji (shoto) akiwa na mama mwenye nyumba wake Ally Sadick (t-shirt nyeupe) wakiwa pamoja na George Samakula.
Kutoka kushoto ni Chande, Taji na mama mwenye nyumba wake na Ally Sadick
2 comments:
tunaomba ufafanuzi wa hizi picha zina leta utatata kidogo zinavyojieleza!!
kweli kabisa, Mbona mimi sioni mwanamke hapo. Anyway THIS IS UNITED STATES OF AMERICA..HAHAA FREE COUNTRY.. YOU CAN BE WHENEVER YOU WANT TO BE.
Post a Comment