RAIS KIKWETE AKIWA NA KATIBU MKUU KIONGOZI MSTAAFU NA MPYA
Rais Jakaya Kikwete akiongea na Katibu Mkuu Kiongozi mstaafu Mh Philemon Luhanjo (kulia) na Katibu Mkuu kiongozi mteule Balozi Ombeni Sefue ofisini kwake Ikulu Dar es salaam Ijumaa usiku mara baada ya kufanya uteuzi huo.(picha kwa hisani ya Michuzi)
No comments:
Post a Comment