ANGALIA LIVE NEWS

Friday, December 23, 2011

EMMANUELLE'S BABY SHOWER

Juu na chini ni zawadi za Baby shower zilizoltwa na wageni waalikwa
 
Emmanulle(kati  mwenye koti jeusi) akiingia na kulakiwa na wenyeji wao Bibi na Bwana Traore
Emmanuelle akisalimina na mama kayani
Emmanuelle akiwa na mumewe
Emmanuelle na Mumewe(kati) akibadilishana mawili matatu na mfanyakazi mwenzake aliyejumuika pamoja katika Baby shower hiyo.
Emmanuelle akilishwa keki na mumewe
 Eva Msowoya akiandaa makulaji.
 Rose Kachuchuru akipata Ukodak moment
Mussa(shoto) akiwa na mwenyeji wake Mr Traure
Mama na mwana wakipata picha ya pamoja

 Sophia akiwa Zena
 Eva Msowoya akiwa na Florence
Kutoka kulia ni Mama Kayani, Mama Mukami na Musa.
Kwa picha zaidi Bofya Read more

No comments: