Tunaombwa tuzingatie muda kwani tunatakiwa ifikapo saa 11:30 jioni tuwe tumeishatoka kanisani hapo kwa sababu saa 12:00 jioni itaanza misa ya mkesha wa Christmas.
Address ya itakapofanyika Harambee ni:
3621 Campus Drive,
College Park, MD 20740.
Marehemu alifia Washington Adventist Hospital na Ijumaa December 23, 2011 mwili wa marehemu utapelekwa Donaldson Funeral Home iliyopo Laurel, Maryland na Gharama za Funeral Home na kuusafirisha mwili wa marehemu pamoja na mama mtoto na mtoto wa marehemu kwenda Tanzania ni $ 15,000, Tunaombwa tujitokeze kwa wingi ilituweze kuchangia na hatimae kuwezesha kumsafirisha mpendwa wetu.
Kwa wale ambao wapo mbali, Imefunguliwa A/C katika Bank ya Wells fargo, kwa ajili ya kusaidia kuchangia na hatimae kuwezesha kuusafirisha mwili wa marehemu nyumbani Tanzania.
Maelezo ya account ni: Elimchili Lyaro, routing number 055003201 account number 7015276038 ."
Tunaombwa tujitokeze kwa wingi mpaka sasa fedha iliyokusanywa ni $ 1,000 tu bado $ 14,000, umoja ni nguvu na tukishikamana tunaweza
Tunaombwa tujitokeze kwa wingi mpaka sasa fedha iliyokusanywa ni $ 1,000 tu bado $ 14,000, umoja ni nguvu na tukishikamana tunaweza
No comments:
Post a Comment