Video ya Ibada ya Christmas ya Kiswahili ilyofanyika jana Jumapili December 25, 2011
Mama Kibanga akiongoza Ibada ya Christmas ya Kiswahili, Columbus, Ohio iliyofanyika siku ya Christmas, December 25, 2011.
Kulia ni Bishop Douglas Muchiri akimuombea Stella Swai ambae Jana ilikua siku yake ya kuzaliwa
Kulia ni mchungaji June Wilkins akipata picha ya pamoja na Stella Swai
Imanuel Lyatuu mmoja wa viongozi wa Ibada ya Kiswahili inayofanyika mara moja kwa mwezi mjini Columbus, Ohio akiongea jambo kwenye Ibada hiyo
Kikundi cha kwaya ya Ibada ya Kiswahili
Watanzania waliojumuika pamoja katika Ibada ya Christmas ya Kiswahili ilyofanyika jana Jumapili December 25, 2011.
Watanzania waliojumuika pamoja wakiffuatilia kwa makini Ibada hiyo.
Watanzania wa Ohio waliojumuika pamoja kwenye Ibada ya Christmas ya Kiswahili wakimsikiliza mchungaji.
Ibada ya Christmas ya kiswahili ikiendelea kanisani hapo
Watanzania wakijumuika pamoja kwenye Ibada ya Christmas ya Kiswahili iliyofanyika jana Jumapili mjini Columbus, Ohio.
Wazee kwa Vijana wakijumuika pamoja katika Ibada ya Christmas ya Kiswahili iliyofanyika Columbus, Ohio.
Watanzania wa Columbus waliojumuika pamoja katika Ibada ya Christmas ya Kiswahili wakimsikiliza mchungaji.
Watanzania wanaishi Columbus, Ohio wakijumuika pamoja katika Ibada ya Christmas ya Kiswahili iliyofanyika Jana Jumapili December 25, 2011.
Ibada ya Christmas Ikiendelea.
Watanzania wa Columbus, Ohio wajumuika pamoja katika Ibada ya Christmas ya Kiswahili.
Kelvin Mkwawa Mkurugenzi wa Radio Mbao akirusha matangazo ya Ibada hiyo LIVE.
Watanzania wa Columbus, Ohio wakijumuika pamoja katika Ibada ya Christmas ya Kiswahili iliyofanyika jana Jumapili December 25, 2011.
Imanuel Lyatuu akimzawadia Mpwa The fulanaz na kikombe zenye nembo ya kanisa hilo kama zawadi ya Christmas,Mpwa nasema asante sana Mungu awabariki muendelee kushikamana kwani UMOJA NI NGUVU.
Kwa picha zaidi Bofya Read More
3 comments:
watu wanapata upako. Upako mtakatifu.
Betha niece wangu umerudi lini au sio wewe
Mbarikiwe sana wapendwa na Mungu awe nanyi daima,Hongera kaka Luke kwa zawadi uliyopata,Mungu akubariki sana kwa kazi yako.
Post a Comment