ANGALIA LIVE NEWS

Friday, December 30, 2011

Kikwete aongoza kumuaga Mchuka

Rais Jakaya Kikwete akipita mbele ya jeneza leye mwili wa aliyekuwa Mtangazaji wa Shirika la Utangazaji nchini (TBC), marehemu Halima Mchuka katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) Dar es Salaam. (Picha na Mohamed Mambo).

No comments: