ANGALIA LIVE NEWS

Friday, December 30, 2011

Washiriki wa Ijitimai

Washiriki wa Ijitimai ya Kimataifa wakimsikiliza Sheikh Mkuu wa Mkoa Wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum (kushoto) katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete uliopo Uwanja wa Maonesho wa Mwalimu Julius Nyerere barabara ya Kilwa. (Picha na Yusuf Badi).

No comments: