ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, December 25, 2011

MAENDELEO YA MSIBA WA STEINA MREMA

STEINA MREMA ENZI YA UHAI WAKE

Watanzania wenzangu hali bado sio nzuri, watu wengi wamefika wamechelewa kwenye HARAMBEE ya Steina Mrema, michango iliyopatikana mpaka sasa kwa wakazi wa DMV ni $ 4,000.00 bado tuna safari ndefu tunakuombeni ndugu zetu, chochote ulichonacho kitasaidia kujaza kibaba.


Kwa Wakaazi wa DMV, tunajua leo ni CHRISTMAS tunajua utakua na familia yako, Tunakuomba jaribu kupitia college park, Maryland japo kwa dakika 1 tu uchangie chochote ulichonacho ili mwenzetu, ndugu, Kaka na rafiki yetu mpendwa, Steina Mrema akapumzike kwenye nyumba yake ya milele. Address ya College park ni:



9005 LOCUST SPRING DR,
COLLEGE PARK, MD 20740.


Kwa wakaazi wa PA na DE tunaombwa kufika SIMBA TROPICAL GRILL kuanzia Saa 3 usiku, Leo ni X-mass tafadhali fika SIMBA TROPICAL GRILL iwe moja ya kusherehekea sikukuu na huku unajaribu kuchangia kuwezesha kusaidia kuusafirisha mwili wa marehemu Steina Mrema Tanzania kwa mazishi.


Address ya SIMBA TROPICAL GRILL ni:

333 NAAMANS RD,
CLAYMONT, DE 19703



Kwa Watanzania waliombali na MD,PA, kuna A/C katika Bank ya Wells fargo, kwa ajili ya kusaidia kuchangia 
Maelezo ya account ni: Elimchili Lyaro, routing number 055003201 account number 7015276038 ."

msiba huu ni wetu sote, UMOJA, MSHIKAMANO NA USHIRIKIANO WETU, ndio utakaowezesha na hatimae kufanikisha kuusafirisha mwili wa Ndugu yetu, Jamaa Yetu, Mtanzania mwenzetu na rafiki yetu mkubwa, mpendwa Steina Mrema nyumbani Tanzania kwa mazishi, SISI TULIMPENDA STEINA LAKINI MWENYEZI AMEMPENDA ZAIDI, JINA LAKE LIHIMIDIWE.


Kwa wakaazi wa PA msiba upo:

ADDRESS
626 BRIDGE STREET,
COLLEGE, PA 19426.


KWA MAELEZO ZAIDI NA MAELEKEZO TAFADHALI PIGA SIMU:
STELLA NDOSSI- 302 377 3214
EDNA IWEKAMA-484 334 5607
ELIMCHILE LYARO-610 331 9164
VICTOR RWEHUMBIZA-302 740 2844
RASHIDI MKAKILE -240-938-3177
STEPHANO MHINA - 240-550-4962
GEORGE MWASALWIBA- 240-533-6941
EMMANUEL NNKO - 202-460-8638

1 comment:

Anonymous said...

CHONDE CHONDE WATANZANIA WENZANGU TUFANYE HIMA ILI TUWEZE KUMSAFIRISHA MTANZANIA MWENZETU STAINA MREMA.KWANI LEO NI KWAKE KESHO YAWEZEKANA KUWA KWAKO.WAZAZI WAKE HAWAJAMWONA KWA ZAIDI YA MIAKA 13 TUJITAHIDI ANGALAU MAMA,BABA NA NDUGU ZAKE WAMWONE KWA MARA YA MWISHO.TUKO HUKU UGHAIBUNI TWATAFUTA MAISHA.HATUJUI LA KESHO LITAKUWAJE.
NI MIMI BI NAKUTUA KUTOKA WASHINGTON DC.