ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, December 15, 2011

Marekani yaondoka rasmi Iraq

Bendera ya Marekani, bendera ya Iraq na rangi za bendera za wanajeshi wa nchi hizo mbili zikipeperushwa wakati wa sherehe hiyo muhimu huko Baghdad, Disemba 15, 2011
Marekani yakamilisha kumalizika kwa kazi zake nchini Iraq kwa sherehe zilizohudhuriwa na Waziri wa ulinzi wa Marekani huko Baghdad kwa habari zaidi BOFYA HAPA

No comments: