ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, December 7, 2011

A MEMORY OF LOVING AND CARING FATHER

Katibu wa NEC ya CCM Itikadi na Uenezi Nape Nnauye,akiwa kwenye kaburi la Baba yake mzazi Mzee Brig.Gen.Moses Nnauye ambae jana December 6,2011 ilikua ni kumbukumbu ya miaka 10 tangia kifo chache. 

1 comment:

Anonymous said...

Mbona kaburi limeanikwa musa salum,na hapa wameandika Moses