ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, December 28, 2011

Misa kwa Lugha ya Kiswahili

Kwa wote wapendao Misa Takatifu wa Lugha ya Kiswahili. 
Karibuni Tuadhimishe Pamoja Epifania:- 
Misa Takatifu Itafanyika Jumapili Tarehe 8 Januari 2012
Saa 8:00 Mchana. Liwe liwalo tujitahidi kuhushiriki. 
Mahali:-  St. Edward R.C. Church,
                901 Poplar Grove St.
                 Baltimore, MD 21216 
Baada ya Misa tutakuwa na viburudisho katika Ukumbi wa Parokia 2848 W.Lafayette Avenue, Baltimore, MD 21216. 
Karibuni wote. Tafadhali Mjulishe yeyote unayejua anapenda kujiunga nasi. 

No comments: