Ile misa ya kumuaga ndugu yetu, Mtanzania mwenzetu,kaka yetu na rafiki yetu mkubwa Steina Mrema sasa kufanyika siku ya Jumapili January 1, 2012 saa 8 mchana na baadae kuaga mwili wa marehemu katika kanisa la Cathederal Of Praise, Lanham, Maryland.
Address ni:
10110 Greenbelt Road,
Lanham, MD 20706
Ukipata taarifa hii mutaarifu mwenzako.
Pole kwa usumbufu wowote utakaokua umetokea.
Pole kwa usumbufu wowote utakaokua umetokea.
No comments:
Post a Comment