Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam, jana walikubwa na mafuriko, baada ya mvua kubwa kunyesha na kusababisha baadhi ya nyumba kujaa maji na watu kukosa makazi kama inavyoonesha katika picha hizi.
Wakosa makazi baada kutokana na mafuriko yaliyotokea.
Athari ya mafuriko, baada ya mvua iliyonyesha jana.(picha kwa hisani ya Majira)
No comments:
Post a Comment