Shaillah Kishumbua akiwa na Baba yake mzazi, Mzee Mallya wakipata picha ya pamoja baada ya kukamata NONDOZ ya MASTERS OF HEALTH ADMINISTRATION & INFORMATICS, University Ya Phoenix, Arizona, Nchini Marekani
Kutoka shoto ni Eliafoo Kishumbua(mume wake Shaillah), Shaillah Kishumbua na Mzee Mallya
Kutoka kushoto ni Eliofoo Kishumbua, Shaillah Kishumbua, Kennedy Kishumbua(mtoto wa Shaillah) na Mzee Mallya.
Shaillah Kishumbua akipata picha ya kumbukumbu na Baba yake mzazi Mzee Mallya.




No comments:
Post a Comment