
Linda katika vazi lake katika kujiandaa na sherehe za miaka 50 ya Uhuru iliyofanyikia Atlanta,Georgia.

Linda(shoto) akiwa na mwanae, Leyla

Leyla akipata matunda

Linda akiwa na mwanae Leyla.

Leyla(kulia), Linda na Mumewe Mr Mali.

Linda na mumewe

Linda akiwa na mumewe wakipata chakula.

Linda akipata picha na Watanzania waliofika kwenye sherehe za Uhuru,Atlanta,Georgia.

Linda(kulia) akipata picha ya pamoja na Watanzania waliojumuika pamoja katika sherehe za miaka 50 ya Uhuru.

Linda kulia akipata picha na Mwajuma mkalangachilo
2 comments:
mume jamani mbona anatumia jina la mkewe kulikoni?da linda
Hata mie nimeshangaa ati? nimejiuliza kuwa ni typo error au is just a coincidence kuwa wote wana majina ya ubini mmoja:-)
Post a Comment