RAIS KIKWETE AKIWASILI UWANJA WA NDEGE WA ENTEBBE TAYARI KUHUDHURIA MKUTANO WA NCHI ZA MAZIWA MAKUU KUPINGA UNYANYASAJI NA UKATILI WA KIJINSIA
RAIS JAKAYA KIKWETE AKISALIMIANA NA BAADHI YA WAJUMBE
RAIS SATA AKIMKABIRDHI RAIS MUSEVENI UNENYEKITI WA ICGLR MKUTANO WA NCHI ZA MAZIWA MAKUU KUPINGA UNYANYASAJI NA UKATILI WA KIJINSIA
RAIS JAKAYA KIKWETE AKIONGEA NA RAIS WA ZAMBIA NA MWENYEKITI WA ICGLR ALIYEMALIZA MUDA WAKE MH MICHAEL CHILUFYA SATA (SHOTO) NA RAIS MWAI KIBAKI WA KENYA WAKATI WA UFUNGUZI WA MKUTANO WA NCHI ZA MAZIWA MAKUU KUPINGA UNYANYASAJI NA UKATILI WA KIJINSIA
WAJUMBE KUTOKA NCHI ZA MAZIWA MAKUU WAKIWA KWENYE MKUTANO NAWAKIFUATILIA KWA MAKINI MKUTANO WA KUPINGA UNYANYASAJI NA UKATILI WA KINJINSIA.
PICHA NA IKULU





No comments:
Post a Comment