ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, December 15, 2011

RAIS KIKWETE AKIWA NA DR MIGIRO NA BALOZI MULAMULA KAMPALA LEO


 Rais Jakaya Kikwete akimpongenza Balozi Liberata Mulamula kwa kazi nzuri aliyoifanya katika sekreteriati ya Maziwa Makuu kwa miaka mitano. Pembeni ni Dr Asha-Rose Migiro Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa
 Rais Kikwete akipiga picha ya pamoja na Dr Migiro, Balozi Mulamula Viongozi na Wajumbe kutoka Nchi za Maziwa Makuu wanaohudhullia mkutano wa kupinga unyanyasaji na ukatili wa kijinsia unaofanyikia Uganda katika hoteli ya Speke Commonwealth Resort kitongoji cha Munyonyo nje kidogo ya
Kampala  ambapo Balozi Mulamula ndio amemaliza rasmi muda wake wa kufanya
kazi kama Katibu Mtendaji wa ICGLR na kumuachia kiti   Prof Lumu Alphonse Ntumba Luaba (59)  wa DRC.

PICHA NA IKULU

No comments: