SALAAM ZA MWAKA MPYA KWA WAKAAZI WA DURHAM NA VITONGOJI VYAKE
KAMA UNAISHI DURHAM, NC NA MAENEO YA JIRANI, TUNAPAMBA SHEREHE AINA ZOTE KWA BEI NAFUU SANA USISITE WASILIANA NASI, ALU 919 451 3084, MARIAM 919 768 2262 NI SIMU MOJA TU NA SHEREHE YAKO ITAKUA IMEPAMBIKA.
TUNAWATAKIA WOTE HERI YA MWAKA MPYA
1 comment:
Anonymous
said...
Ni kazi nzuri, ila kisu cha chakula -'table knife" huwa kina tizama ndani- yaani ule upande wa makali ya kukatia huwa una 'face inside' hii ni international standard. Labda kwa wenzetu wachina. Kazi nzuri na hongereni sana.

Post a Comment