Nassoro Basalama na mama mwenye nyumba wake wanawatakia wadau wote heri ya mwaka mpya, 2012 tuwe kitu kimoja na tuwe na wivu wa kusonga mbele kwani Maendeleo ni haki ya wenye kuyapigania, hayaji bila nguvu za makusudi na zenye muelekeo. Shirikiana na wenzio kwa kuijenga jamii yako
No comments:
Post a Comment