
Wapendanao Dullah na Zay B walipotua Rio Club iliyopo Laurel, Maryland, USA kusherehekea siku yao hii maalum katika historia ya malavidavi yao yanayoenda sambamba na sherehe za Uhuru wa Tanzania Bara.

Baba mwenye nyumba Dullah(shoto) akipata ukodak moment na DMK kama kumbu kumbu ya sherehe yake na Zay B katika nyanja ya malavidavi.

Mama mwenye nyumba Zay B katika Ukodak moment kama kukmbu kumbu ya siku hii maalum kwao yeye na Dullah.

Kulia Benja, rafiki mkubwa wa Dullah akiwa pamoja na Manase(wapili toka kulia) wakijumuika pamoja na wapendanao Zay B na Dullah katika hii siku maalum kwao katika nyanja ya malavidavi walipokua wakisherehekea kukmbu kumbu ya penzi lao lilikotoka kwenye Club ya Rio iliyopo Laurel, Maryland.

Ni Dullah akiwa na mmoja wa marafiki waliofika kujumuika nao Rio Club.

John Sitta(kulia) akiwa na Zay B mama mwenye nyumba wa Dullah katika ukodak moment katika siku yao maalum katika nyanja za malavidavi.

Mama mwenye nyumba wa Dullah, Zay B(kushoto) akipata ukodak moment na Eric Mfanga mara walipokutana Rio Club katika kusherehekea siku yao ya Malavidavi na Dullah.

Shosti wenzake Zay B wakimpongeza kwa mshimamano waliokua nao katika nyanja ya malavidavi na baba mwenye nyumba wake Dullah.

Zay B akipata ukodak moment na mmoja ya rafiki zake

Phanuel(kati) nae akipongeza Zay B katika mshikamano waliokuwa nao yeye na baba mwenye nyumba wake, Dullah, kulia ni charles Kaiza.

Zay B akipata ukodak moment na mr Raju

Zay B(kati) akipata ukodak moment moment na Charles Kaiza,na mmoja ya marafiki zake wa siku nyingi.

Zay B akipata Ukodak Moment na Kidevu.
No comments:
Post a Comment